Maisha yangu mimi ni mafupi sana // Mimi ni Msafiri

3.0K views110Jan 17, 2026Watch on YouTube
maisha yangunyimbo za kuabuduswahili worship songsswahili gospel mixmix ya nyimbo za kikristonyimboza wokovunyimbo za kikristodeep worship songs

[Verse 1] Maisha yangu mimi, ni mafupi sana Yapita kama umande, litokapo jua Yapita kama kivuli, jua lituapo Mimi ni msafiri, duniani hapa [Chorus] Nikiwa nayo mali, bila Yesu bure Heshima madaraka, bila Yesu bure Mauti yaningoja, kama vile mamba Awindavyo mawindo, katika bahari