Nasifu Shani ya Mungu | SDA CAMP Meeting Music | SDA Hymns Songs and Music | Nyimbo za Kristo

1.6K views18Sep 26, 2025Watch on YouTube
seventh-day adventistlivestreamsermonsSDA Camp meetinglavington sda churchcentral sda churchnairobi sda churchnyimbo za kristo

[Verse 1] Nasifu shani ya Mungu, mweneza bahari, Muumba pia wa mbingu, jua nyota mwezi, Ni tukufu yako shani, mtengeza mambo, Ya nyakati na zamani, yasiyo na mwisho. [Verse 2] Kadiri ya nionayo, ya kusifu Mungu: Nchi niikanyagayo, na hayo mawingu, Hakuna hata unyasi, usiokukuza, Na upepo wavumisha, au kutuliza. [Verse 3] Nami kwa mkono wako, naongozwa sawa, Ni pato nikusifupo, kukwomba ni dawa, Umenizingira nyuma, na mbele baraka, Maarifa ya ajabu, yanishinda mimi.