Ni Siku Kuu | O Happy Day that Fixed my Choice | SDA Hymns Songs and Music

730 views7Sep 26, 2025Watch on YouTube
SDA Camp meetinglavington sda churchcentral sda churchnairobi sda churchnyimbo za kristomakambimakambi 2025sda hymns

[Verse 1] Ni siku kuu siku ile ya kumkiri Mwokozi! Moyo umejaa tele, kunyamaza hauwezi. [Chorus] Siku kuu! Siku kuu ya kuoshwa dhambi zangu kuu! Hukesha na kuomba tu, aniongoza miguu. Siku kuu! siku kuu ya kuoshwa dhambi zangu kuu! [Verse 2] Tumekwisha kupatana, mimi wake, yeye wangu, Na sasa nitamwandama, nikiri neno la Mungu. [Verse 3] Moyo tulia kwa Bwana, kiini cha raha yako: Huna njia mbili tena: uwe naye, yote ndako.